Kocha wa Simba afunguka baada ya ushindi wa leo

Kocha wa klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema kujituma kwa wachezaji wake  ndiyo siri ya ushindi wa leo huku akikiri kuwa uamuzi wake wa kuwaanzisha kwa pamoja John Bocco na Meddie Kagere umechangia kuwavuruga wapinzani wake.

FT : Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items