Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo

 Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa michezo mbalimbali iliyopigwa saa kumi jioni ambapo mechi moja imehairishwa kati ya Ruvu Shootingi dhidi ya Prisons na mechi nyingine itapigwa saa moja usiku kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City itakayopigwa kwenye dimba la Taifa.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items