Nyota wa filam za kichina Jackie Chan atangaza donge nono kwa atakayegundua kinga ya Corona


Nyota wa filamu za kichina Jackie Chan ametangaza kwamba atatoa zawadi ya Yuan milioni 1 (sawa na dola laki 1na elfu 43) kwa mtu au kikundi cha watu watakaogundua kinga dhidi ya virusi vya Corona.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa jamii wa Weibo alisema yupo tayari kufanya chochote kuona virusi vipya vya Corona vikipatiwa tiba au chanzo na kutokomezwa

Kufuatia hatua yake hiyo Chan amepokea pongezi kutoka kila kona ya dunia.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia