Picha: Kikwete, Mkapa watua Kenya kuhudhuria mazishi ya Arap Moi
byMuungwana Blog 5-
0
Marais wastaafu Mhe. Benjamin Mkapa na Mhe. Jakaya Kikwete walipowasili jijini Nairobi kwa ajili ya Mazishi Rasmi ya Rais mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel arap Moi.