Picha: Masauni atua Arusha kwa ziara ya kikazi


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo(kulia),baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ulinzi na Usalama. Naibu Waziri yuko  jijini Arusha kwa ziara ya kikazi.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items