Rais wa Uturuki kufanya ziara nchini Azerbaijani


Recep Tayyıp ErdoÄŸan ajielekeza nchini Azerbaijani  kushiriki katika mkutano wa  kimkakati wa baraza la ushirikiano mjini Baku.

Mkutano huo ni mkutano wa 8 kufanyika.

Katika mkutano huo  kutazungumziwa kuhusu ushirikiano kati ya Uturuki na Azerbaijani kwa kina ili kufikia katika malengo yalioweka katika ushirikiano.

Hali iliopo katika ukanda  itajadiliwa ikiwemo pia hali inayoendelea Idlib nchini Syria.