Tamu, chungu ya keki ya miaka 85 ya yanga mikononi mwa Mbeya City leo
byMuungwana Blog 5-
0
Klabu ya soka ya yanga leo inasheherekea miaka 85 huku siku yao hii muimu itakuwa kibaruani na timu ya mbeya City mchezo utakaochezwa uwanja wa taifa saa 1:00 usiku.