Nyumbani Twiga Stars yatoa dozi ya wiki kwa Mauritania byMuungwana Blog 2 -2/14/2020 06:00:00 PM 0 Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania ( Twiga Stars) imeishushia kipigo timu ya Taifa ya wanawake ya Mauritania cha bao 7-0 katika michuano ya wanawake kanda ya kaskazini (UNAF). Facebook Twitter