VIDEO: Agizo la Rais Magufuli kuhusu kiwanda cha karanga ,askari magereza watakiwa kukamilisha ujenzi huo


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni amelitaka Jeshi la Magereza kuhakikisha linamaliza Ujenzi wa Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Karanga kilichopo Mkoani Kilimanjaro ifikapo tarehe 1 Machi mwaka huu.

Ametoa maelekezo  hayo alipotembelea Ujenzi huo unaojengwa kwa ubia kati ya Jeshi la Magereza na Mfuko wa Pensheni wa PSSF huku ikitajwa gharama nzima ya ujenzi huo kuwa ni 75,352,350,600

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items