Katika Mahojiano Maalum Leo Muungwana Tv Tumefika katika Wilaya ya Pangani na Kuzungumza na Mmoja wa Mwananchi ajulikanae kama Mwajabu Aly Madiwa ambaye amelezea shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa pangani Huku akibainisha masuala kadhaa hasa kwa wageni wanaoingia katika Eneo la bahari ya Hindi na Mto pangani
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
