VIDEO: Mwalimu anaswa akisafirisha wahamiaji haramu, pikipiki zakamatwa


Jeshi la polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili akiwamo mwalimu na afisa Kilimo wakisafirisha wahamiaji haramu 3 kutoka nchini Kenya ambao wenye asili ya Somalia wakisafiri kutoka Kilimanjaro kwenda Songwe kupitia Mkoa wa Dodoma.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia