VIDEO: Tetesi za soka leo Februari 12


Mchezaji wa zamani na aliyewahi kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo maarufu 'Julio' amesema kuwa klabu ya Simba ilikosea kumuondoa kocha Patrick Aussems wakati timu yake ilikuwa imeshajengeka.

Julio amesema kocha yoyote anahitaji kupewa muda wa kutosha katika timu ndipo matunda yataanza kuonekana, akimtolea mfano kocha Aussems kuwa japo alifukuzwa lakini tayari alikuwa na kikosi bora na kilichotulia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHA KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items