VIDEO: Tetesi za soka za leo Februari 13


Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa ameweka bayana kwamba kocha wao mkuu, Sven Vanderboeck ataendelea kubakia katika nafasi yake japokuwa wamekuwa wakihusishwa na kumtaka raia wa DR Congo.
Ibenge anatajwa kuja kuchukua nafasi ya Sven ambaye inatajwa anaweza kutimuliwa kutokana na kutofanya vizuri kwenye timu hiyo. Senzo amesema kwamba suala la kumtaka Ibenge kwa sasa halipo licha ya kwamba mambo hayaendi vizuri kwa kocha wao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIUBE