VIDEO: Wakulima wa zao la tumbaku Mkoani Tabora hali tete


Wakulima wa zao la Tumbaku wilayani Urambo mkoani Tabora wameiomba Ofisi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuingilia kati na kusitisha zoezi la wakulima kurudisha fedha za msimu wa kilimo cha mwaka 2016/2017 linalo simamiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani humo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE