Waliofariki kwa Virusi vya corona wafikia 1113

Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona nchini China imeongezeka na kufikia Watu 1113, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa.

Watu walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 44,653 hii ni kwa China pekee, Watu 16,067 wanahisiwa kuwa na virusi hivyo na idadi ya walioruhusiwa Kutoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu imeongezeka na kufikia 4740.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items