Yanga yavutwa shati na Mbeya City


Yanga imetoka sare ya 1-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la Taifa.hakuna mbabe kwa mara nyingine.

FT: Yanga SC 1-1 Mbeya City.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items