Katibu wa Chadema kondoa aamia CCM

Mwenyekiti wa ccm Athuman Gora amempokea Francis Mafita Aliyekuwa Katibu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuhamia katika chama cha ccm rasmi.

Mwenyekiti wa chama icho amesema kuwa uamuzi huo wa Francis Mafita ni matokeo mazuri ya chama kwa mwaka huu wa uchaguzi.

Aliyekuwa Katibu wa  chama cha Demokrasia na  Maendeleo (Chadema) Kondoa amejiudhuru cheo icho na kuhamia rasmi katika chama cha Mapinduzi (ccm)



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items