VIDEO: Serikali yamkana Makonda 'LIVE' sakata la mtoto wa Mbowe
byMuungwana Blog 2-
0
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema hakuna mtu anayeruhusuwa kutoa takwimu za maambukizi ya virus vya Corana na hairuhusiwi kutaja jina la Mgonjwa kwana ugonjwa ni Siri ya mgonjwa na Daktari.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE