Breaking News: Mchungaji mama Gertrude Rwakatare afariki dunia

Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020.

Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tutakavyoendelea kupata taarifa.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items