Fanyeni mazishi huko huko mlipo msisafirishe- RC Mghwira


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Mghwira ameowaomba wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa kubadili tamaduni za mazishi ya ndugu zao ambazo huwalazimu kusafirisha na kwenda kuzika mkoani humo.

Hatua hiyo inatokana na tahadhari iliyopo sasa ya kuepuka maambukizi mapya ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa homa ya mapafu.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia