Maombi ya kitaifa dhidi ya janga la corona kufanyika kesho Karimjee


Wizara ya afya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto kwa kushirikiana na viongozi wa madhehebu ya dini nchini, wameandaa maombi maalum ya kitaifa kuombea nchi dhidi ya maambukizi ya homa ya mapafu inayotokana na virusi vya corona.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia