Marekani yadai Kim Jong Un ni mgonjwa, yajipanga kufatilia

Marekani imesema inafuatilia kwa ukaribu taarifa zinazodai maisha ya Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un yapo hatarini baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya moyo.

 Kim hakuhudhuria kwenye sherehe za kumbukizi ya kuzaliwa kwa Babu yake April 15 na hii ikaongeza hofu juu ya ukweli wa taarifa za kuugua kwake.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia