Nyumbani Rais Magufuli amlilia Mchungaji Rwakatare byMuungwana Blog 5 -4/20/2020 01:00:00 PM 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Mgaufuli amemtumia salamu za rambirambi kwa familia, wabunge na waumini wa kanisa la mlima wa moto kufuatia kifo cha Askofu Getrude Rwakatare kilichotokea leo aprili 20. Facebook Twitter