Rais wa uturuki afanya mazungumzo na Trump kuhusu ushirikiano katika kupambana na covid - 19


Rais wa Uturuki azungumza na  raia Donald Trump kuhusu ushirikiano katika  kupambana na  covid - 19.

Recep Tayyıp ErdoÄŸan , rais wa Uturuki azungumza kwa njia ya simu  na rais wa Marekani kuhusu ushirikiano wa kiuchumi katika kupambana  dhidi ya virusi vya corona.

Mkurugenzi  katika kitengo kinachhusika na upashaji habari ikulu ya rais mjini Ankara amesema kwamba viongozi hao wamejadili kuhusu ushirikiano katika mapambano dhidi ya virusi vya corona na kuonesha zaidi  mshikamano miongoni mwa  wanachama wa   Muungano wa kujihami NATO.

Ushirikiano kuhusu hali inayoendelea katika ukanda umejadiliwa  kati ya marais hao wawili.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items