Mkuu wa MKOA wa Arusha Asubuhi ya leo ametoa maelekezo katika soko lililoungua na moto ambapo amesema kuwa watu wote waliopangishia watu vibanda kabla soko hilo halijaungua waache mara moja jambo ambalo baadhi wameanza kulitekeleza
Wakati Muungwana inafanya mahojiano juu ya muitikio huo tulibahatika kuzungumza na mwananchi mmoja ambaye ni machinga alipangishiwa kibanda na mtumishi wa halmashauri kwa shilingi elfu 50
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
