Wachezaji wa Ligi kuu England wagoma kukatwa mishahara
byMuungwana Blog 2-
0
Wachezaji wa Ligi kuu England (EPL), wamegoma kukatwa mishahara yao katika kipindi hiki, licha ya kuelezwa kwamba, klabu zao zitapata hasara ya pauni bilioni 1.137 kutokana janga la virusi vya Corona.