Wagonjwa 37 wapona corona, 71 wasubiri vipimo vya mwisho

Waziri Ummy Mwalimu amesema wagonjwa 37 wa Corona wamepona na kuruhusiwa huku wengine 71 wakisubiri vipimo vya mwisho. Waziri Ummy amesema hayo leo wakati akipokea msaada wa sabuni na Fedha Tsh. Milioni 50 kutoka kampuni ya Azania Group kwa ajili ya mapambano ya corona.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items