Qatar imeanza kutekeleza adhabu mpya ya hadi miaka mitatu jela kwa watakaoshindwa kuvaa barakoa sehemu za hadhara, Misikiti, shule, migahawa na maduka makubwa yamefungwa, lakini shughuli za ujenzi zinaendelea wakati Qatar ikijiandaa kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2022.
Hadi asubuhi hii, Qatar ina jumla vifo vya corona 15, maambukizi 32,604 na wamepona Watu 4370.
Hadi asubuhi hii, Qatar ina jumla vifo vya corona 15, maambukizi 32,604 na wamepona Watu 4370.