Hukumu ya Zitto Kabwe kutolewa leo



Leo Mei 29, 2020, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa hukumu ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe katika kesi yake ya uchochezi inayomkabili.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items