Loading...

5/22/2020

JINSI YA KUJIUNGA NA HUDUMA YA V.I.P KWENYE MUUNGWANA BLOG


VIP ni huduma ya kulipia ambayo itakuwezesha mtumiaji kuweza kutumia huduma zetu Bila kuona MATANGAZO na kuweza kupata huduma ya MATCHES na TV / RADIO

Unacho takiwa kufanya ni Kuingia kwenye App yako ya Muungwana Blog  kisha kufuata maelekezo ya kwenye picha hii hapa chini.


Hii namba ya malipo ni Yamfano.

Utatoka kwenye App na fungua sehemu ya kupiga simu kisha utaingiza kodi ya mtandao wa malipo  unaoutumia na kisha kuanza kufanya malipo hayo, Yani kama unatumia Tigo pesa, Airtel Money, M-pesa au mtandao wowote ule.


Ukishamaliza kufanya malipo utarudi kwenye App yako kisha utaona alama ya VIP juu mkono wa kulia hapo utakuwa  tayari kwa kufurahia Huduma zetu..


KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA  0719 788 949 / 0789 547 574..

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger