Kampuni ya MO Dewji kufutiwa leseni, sakata la sukari



Serikali imetishia kuzinyang’anya leseni ya Biashara baadhi ya Kampuni ambazo ni Mawakala wa Sukari ikiwemo ya Mohamed Enterprises Ltd kwa kukiuka agizo la katibu tawala wa mkoa Kilimanjaro Dkt Khatibu Kazungu alilotoa hivi karibuni akiwataka kuagiza sukari na kisha kuziuza kwa wafanyabiashara katika mkoa huo.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia