Nyumbani Ligi kuu ya Bundesliga kurejea leo byMuungwana Blog 3 -5/16/2020 10:00:00 AM 0 Ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga itarejea mechi zake bila kuwa na mashabiki uwanjani leo tarehe 16 Mei, 2020. Timu nyingi zina michezo tisa ya kucheza na msimu huu fainali zinatarajiwa mwishoni mwa wiki ya tarehe 27-28 Juni mwaka huu. Facebook Twitter