Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wapya 23 wa corona wameongezeka na kufanya idadi ya maambukizi kufikia 781 kutoka 758
“Tumepima sampuli 2100 ndani ya saa 24, wagonjwa wapya ni 23 ambapo Wanaume ni 18 na Wanawake 5, mgonjwa mwenye umri mdogo ana miaka 24, mkubwa miaka 85”