Loading...

May 30, 2020

Magufuli asimulia alivyomfukuza mfanyakazi Ikulu kisa Tausi

“Nimeingia Ikulu nikaleta wataalamu wa wanyama tukanunua incubator idadi ya mayai ya Tausi ikaongezeka, nimetoa Tausi 100 kila Mstaafu Tausi 25 ili wakawaburudishe wajione kama wapo Ikulu, nikajua atakuja mmoja siku moja atawanyang’anya, nimesaini na hati”-JPM

“Wakati Mzee Kikwete ananikabidhi Ikulu aliniambia Tausi hawa wanataga mayai vizuri ila hawayalalii yanaliwa na wanyama, kuna mfanyakazi hapa tena msukuma mwenzio kila nikimuambia atafute incubator atotoe mayai hafanyi, nilipoingia yule Msukuma nikamfukuza”-JPM
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger