F PICHA: Rais Magufuli alipoenda kuangalia maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Ikulu ya Chamwino | Muungwana BLOG

PICHA: Rais Magufuli alipoenda kuangalia maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Ikulu ya Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.