Rais Magufuli anatarajiwa kufunga bunge june 19

Spika wa Bunge Job Ndugai ametangaza mabadiliko ya ratiba ya shughuli za Bunge ambapo Bajeti Kuu ya Serikali itasomwa June 11, 2020 na shughuli za Bunge zitamalizika June 19, 2020 .

"Tunamaliza shughuli za Bunge June 19,2020 ambapo panapo majaliwa Rais anaweza kuja kutufungia Bunge la 11 rasmi"-NDUGAI
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items