Rais Ramaphosa atangaza kufunguliwa kwa nyumba za ibada kuanzia mwezi Juni mwaka huu

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza kwamba nyumba za Ibada zinapaswa kufunguliwa kuanzia June mwaka huu, wakati Nchi hiyo ikiendelea kulegeza masharti y lockdown, Ramaphosa amesema kwa hatua za awali mikusanyiko kwenye nyumba za Ibada isizidi Watu 50. "Imani na maombi ya Watu yamesaidia kwenye mapambano haya dhidi ya corona"
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia