May 28, 2020

VIDEO: Waziri Ndalichako apiga marufuku wanafunzi kwenda shule na tangawizi, limao na spirit/corona sio biashara

  Muungwana Blog 3       May 28, 2020
Waziri wa elimu, sayansi na teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, leo Mei 28, ametoa onyo kwa walimu kutotumia ugonjwa wa Corona kama kitega uchumi, kwani hivi karibuni kumesambaa taarifa mitandaoni kuwa wanafunzi wanatajiwa kurudi vyuoni wakiwa na baadhi ya mahitaji ikiwemo Malimao na Tangawizi

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
logoblog

Thanks for reading VIDEO: Waziri Ndalichako apiga marufuku wanafunzi kwenda shule na tangawizi, limao na spirit/corona sio biashara

Previous
« Prev Post