Wabunge wawili wa CHADEMA wajiunga na NCCR-Mageuzi
byMuungwana Blog 2-
0
Wabunge Joyce Sokombi na Sussane Masele (CHADEMA-VITI MAALUM) wametangaza kuhama CHADEMA na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi mara baada ya kuhitimishwa kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.