"Wanaoficha sukari ni watu wanafiki" Rais Magufuli
byMuungwana Blog 2-
0
“Hakuna upungufu wa sukari, wanaoficha sukari ni watu wanafiki, watu wabaya wanaficha si kwasababu sukari haipo, sukari ipo. Sasa mipaka tungekuwa tumeifunga tungeipata hiyo sukari kutoka Uganda,” – Rais Magufuli