Watu 24 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama katika Ziwa Volta nchini Ghana.
Mtu mmoja amefariki baada ya mashua yao kuzama na wengine 24 hawajulikani walipo baada ya ajali hiyo kutokea katika ziwa Volta nchini Ghana.
Kulinagana na taarifa zilizotolewa na shirika linalohusika na msaada katika matukio ya dharura na uokozi NADMA , mashua hiyo iliozama ilikuwa safarini kutokea katika mji wa Agalakope ikielekea katika kijiji cha Dzemeni nchini Ghana.
Kwa mujibu wa ripoti iliotolewa kuhusu ajali hiyo, mashau hiyo imezama kutokana na kubeba abiria wengi kuliko uwezo wake.
SHuhuli za kuwatafuta watu waliozama katika ajli hiyo zinaendelea.