Loading...

6/28/2020

Breaking: Rais Magufuli amtumbua DAS Kisarawe kisa wake za watu

Rais Magufuli amemteua Afisa Tawala wa Kisarawe kuwa Katibu Tawala Mpya wa Kisarawe muda mfupi baada ya kutengua uteuzi wa aliyekuwa Katibu Tawala kwa madai ya kufanya mambo kinyume na maadili ya kazi yake ikiwemo tuhuma za kuchukua hadi Wake za Watu.

“Hapa kuna tatizo moja la mteule wangu mmoja DAS Kisarawe ana mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi, zipo tuhuma kuwa anachukua mpaka Wake za Watu, nilishamuonya siku za nyuma nafikiri hakuonyeka, kuanzia leo natengua kazi yake atafutiwe kazi ya chini na asifanye hapa”-JPM
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger