DC Kisarawe amefanya kazi nzuri sana ya kuondoa zero, Wazaramo badala ya kumuoa mnamwangalia tu- JPM

“DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo amefanya kazi nzuri sana katika kuondoa zero, palikuwa na zero nyingi hapa, ninachowashangaa Wazaramo watani zangu, hajaolewa ila mmeshindwa kumuoa mnamuangalia tu hapa, ndio shida ya Wazaramo, saa nyingine mnashindwa mambo”-JPM


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia