Serikali imetoa takribani Trilion3 kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maji- JPM

“Lengo la Serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama, Serikali imetoa takriban Tsh. Tril.3 kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maji ambapo Vijijini upatikanaji umefikia 70.1% na Mijini ni 84%”-JPM

“Wakati nazindua mradi wa Ruvu Juu niliumia kuona Wilaya kongwe ya Kisarawe ambayo ina miaka zaidi ya 100 tangu ianzishwe, ina changamoto ya maji, nikatoa agizo kuwa maji yafike Kisarawe, nawapongeza DAWASA kwa kuamua kuuendeleza mradi huu mpaka Pugu” -JPM
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia