TANZIA: Taarifa za awali ambazo tumepokea, Mke wa Mmoja wa mameneja wa WCB, Hamis Shaban Taletale maarufu @babutale anayejulikana kwa jina maarufu Shammy amefariki dunia Alfajiri ya Leo.
Watu wa karibu na familia ya Hamis Taletale (Babu Tale) wamethibitisha kutokea kwa msiba huo.