Nyumbani EPL huwenda ikatumia sauti za FIFA 20 byMuungwana Blog 2 -6/01/2020 06:00:00 PM 0 Vilabu vya Ligi Kuu England vitaamua Alhamisi hii kama wameridhia matangazo ya mechi zao za LIVE kuwekwa sauti za mashabiki kutoka katika game ya FIFA 20 baaada ya EPL kuendelea bila mashabiki sababu ya Corona. Facebook Twitter