Faustino Anjorin amesaini mkataba mpya wa miaka mitano kwenye klabu yake ya Chelsea baada ya kukataa ofa za vilabu vingine vya ligi kuu ya Uingereza.
Mchezaji huyo mwenye miaka 18 alikua kwenye mwaka wake wa mwisho kwenye mkataba wa mwanzo ambapo vilabu vya Manchester City, Manchester United, Liverpool, Arsenal na Borussia Dortmund vyote vilionyesha nia ya kumtaka mchezaji huyo.