Joel Matip atakosa game zote za Liverpool zilizosalia 2019/20
byMuungwana Blog 5-
0
Beki wa Liverpool Joel Matip baada ya kufanyiwa vipimo vya kina sasa imethibitika atakosa game zote za Liverpool zilizosalia 2019/20, Matip aliumia mguu wakati wa game ya Liverpool dhidi ya Everton.