Maandamano mjini London kukemea mauaji ya George Floyd

Maandamano kukemea mauaji ya George Floyd  yafanyika mjini Londo nchini Uingereza.

Maandamano mjini London kwa ajili ya George Floyd.

Maandamano kukemea mauaji ya George Floyd  yafanyika mjini Londo nchini Uingereza.

Maandamano ya kukemea mauaji ya mmarekan mweusi Minneapolisi nchini Marekani yamevuka mipaka na kufanyika katika miji ya mataifa ya bara la Ulaya.

Maandamano ya kukemea mauaji hayo na matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi Marekani .

George Floyd alizuiliwa na polisi na katika hali ya  kurukushani na maafisa wa jeshi la Polisi alilazwa chini na kukandamizwa kwa goti shingoni hadi kufariki.

Baada ya maandamano kuripotiwa mjini Berlin nchini Ujerumani, maandamano yamefanyika mjini London  nchini Uingereza kukemea mauaji ya mmarekani mweusi  huyo.

Waandamanaji  walikuwa na mabango yalibeba ujumbe  unatoa wito wa kuheshimu  haki na kukemea madhila dhidi ya  wamarekani weusi.

Waandamanaji walielekea katika ubalozi wa Marekani Vauxhall wakiwa na mabango yao.

Waandamanaji 11 wamekamatwa  katika maandamano hayo  baada ya kuzuka  kwa ghasia.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia