Watu 10 wameuawa na wengine 13 wamejeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea nchini Somalia.
Shambulizi hilo limelenga magari ya cuhukuzi wa umma na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine zaidi ya 10 kujeruhiwa.
Kamanda wa jeshi la Polisi katika eneo la Shebelle, Hussein Abdi Ali amewaambia wanahabari kuwa shambulizi la bomu la kuvizia limelenga basi moja la uchukuzi wa umma katika eneo hilo na kusababisha maafa.
Hakuna kundi lolote ambalo limejinasibu kuhusika na tukio hilo huku wanamgambo wa kundi la Boko haramu wakishukiwa kuhusika na shambulizi hilo.
Kufuatia shambulizi hilo, jeshi la Somalia limefahamisha limeendesha operesheni kali katika eneo hilo na kuwaangamiza wanamgambo 18 wa al Shabaab.